BANDA MEDIA BLOG

MPANGO KAZI WA TAIFA WA DAWA VIFAA TIBA NA VITENDANISHI WAZINDULIWA DAR ES SALAAM


19Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.
21Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi mkutano wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.

22Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati) akionyesha taarifa ya Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) baada ya uzinduzi leo jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mfamasia Mkuu wa Serikali Henry Irundo na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Muhamad Kambi.
23Wajumbe waliohudhuria uzinduzi wa Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.
24Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano wa taarifa ya Mpango kazi wa Taifa wa Dawa vifaa Tiba na vitendanishi kwa miaka mitano (2015-2020) leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG