Bondia Mwinyi Muhina kulia akipambana
na Godfre Sadiq wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa
vigae classic mbagala zakhem Sadiq alishinda kwa point
na Godfre Sadiq wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa
vigae classic mbagala zakhem Sadiq alishinda kwa point
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Joseph Sinkala wa Mbeya
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa vigae Classic
Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point mpambano uho
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa vigae Classic
Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point mpambano uho
Bondia Joseph Sinkala wa Mbeya akipokea kipondo kutoka kwa Ibrahimu Maokola wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point
uliofanyika katika ukumbi wa Vigae Classic Mbagala Zakhem Maokola alishinda kwa point
Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Joseph Sinkala wa Mbeya wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa vigae Classic Mbagala Zakhem Maokola
alishinda kwa point mpambano uho .
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Tags
MICHEZO KITAIFA