BANDA MEDIA BLOG

ULIIKOSA SHOW YA BI HADIJA KOPPA NA KUNDI LA OGOPA KOPPA CLASSIC? USIJALI NIMEKUWEKEA PICHA ZA KUTOSHA HAPA KAMA 68 HIVI ZITAZAME KWA UTARATIIIBU!!!


Kichuna mtoto ya moro...mtangazaji wa mikito ya pwani anayesumbua ukanda wa kati na kaskazini {Rasi fm radio..dodoma} akiwa katika muonekano tofauti katika kujimwayamwaya na kundi zima la OGOPA KOPPA CLASSIC Wikiend iliyopita ndani ya Royal village dodoma tz

OGOPA KOPPA CLASSIC wakitisa dom







Mikito ya pwani ikisonga mbele IMETENGEZWA NA BANDA BLOG






























Bibie Khadija Kopa ambaye ni mmiliki wa Band ya OGOPA KOPPA CLSSIC wa nyuma akikata mauno na mashabiki wake mjini Dodoma














MsagaSumu akikonga nyoyo za mashabiki wake Mjini Dodoma Wikiend iliyopita



Mama we Mkaliii!!!!!!






Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG