Mashabiki wa soka nchini Uturuki wameingia kwenye headlines baada ya maamuzi walioamua kuyafanya yamewashangaza wengi na sio ya kawaida, mashabiki wa klabu ya EskiÅŸehirspor
wameamua kuchoma uwanja wao baada ya timu yao kufungwa goli dakika ya
93, kipigo ambacho kimefanya kuwa katika nafasi ya kushuka daraja.
Mchezo huo uliomalizika kwa EskiÅŸehirspor kufungwa goli 2-1, mashabiki walivamia uwanja wao na kuanza kuchoma moto, EskiÅŸehirspor msimu ujao huenda ikashiriki Ligi daraja la pili Uturuki, kutokana na kuwa nafasi mbaya katika msimamo wa Ligi Kuu Uturuki.
Tags
MICHEZO KIMATAIFA