Msafara wa Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,ukiongozwa
na Mapikipiki ukiingia katika viwanja vya Skuli mpya ya Mkanyageni
akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo,
[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Maalim Haroun Ali Suleiman leo mara alipowasili katika viwanja vya Skuli
mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El
Hajj,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akisimama katika jukwaa
maalum kupokea salamu ya heshma ya kikosi cha Gwaride la FFU Pemba mara
alipohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj,lililofanyika leo
katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa
Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Kikosi cha jeshi la Polisi FFU
Pemba wakitoa salamu ya heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, wakati alipohudhuria
katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi
wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha
na Ikulu.]12/09/2016.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama
Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika
leo katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini
Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar na wananchi wa Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa
katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi
wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na
Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa
Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa sherehe za Baraza la Eid El
Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya
ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Baadhi ya Akina Mama wa Vijiji
mbali mbali vya Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika
sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa
Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,ambapo
mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa
Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa sherehe za Baraza la Eid El
Hajj lililofanyika leo katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya
ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Mke wa Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Mama Fatma Karume na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema
Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali
Iddi wakisikiliza hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein aliyoitoa leo katika
sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika ukumbi wa Skuli mpya ya
Mkanyageni Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (katikati) leo alijumuika
na maelfu ya Waislamu mbali mbali na Viongozi katika swala ya Eid el
Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni
katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu}
12/09/2016.
Baadhi ya waislamu kutoka shehia
za Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika swala ya
jamaa ya Eid el Hajj iliyoswaliwa leo katika uwanja wa Mkoani Bandarini
Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen (kulia) akisalimiana na
Watoto baada ya swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam
Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa
Kusini Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
Wananchi na Waislamu wakisikiliza
Hutuba Baada ya Swala ya Eid el Hajj iliyotolewa na Sheikh Ali Adam
Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa
Kusini Pemba leo,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
Sheikh Ali Adam Makame kutoka
shehia ya Ueleni alipokuwa akitoa Hutuba baada ya Swala ya Eid el Hajj
leo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj
Dk.Ali Mohamed Shen,Viongozi pamoja na Waislamu mbali mbali katika
Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini, Pemba {Picha na Ikulu}
12/09/2016.
Viongozi na Wananchi
wakisikiliza Hutuba iliyotolewa leo baada ya Swala ya Eid el Hajj na
Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani
Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba leo,{Picha na Ikulu}12/09/2016.
Tags
HABARI ZA DINI