BANDA MEDIA BLOG

HIVI NDIVYO EID UL AZHA ILIVYOSHEHEREKEWA MJINI DODOMA

Waumini wa msikiti wa Ahmadiyya Muslim Jamaat Dodoma wakichinja nyama ya mbuzi kama sehemu ya ishara ya sikukuu ya EID UL AZHA


Wanawake wa dini ya kiisilamu wa msikiti wa Gadaff mkoani  Dodoma wakisali kwenye sikukuu ya Eid ui Azha iliyofanyika jana [PICHA NA PETER MKWAVILA]


Waumini wa msikiti wa Gadaff Mkoa wa Dodoma wakisikiliza mawaidha toka kwa imamu (hayupo pichani) jana siku ya sikukuu ya Eid ui Azha



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG