Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakichambua maoni ya wadau katika Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari katika kikao kilichofanyika jana Mjini Dodoma.
byJohn Banda-
0
1.
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya
Huduma na Maendeleo ya Jamii wakichambua maoni ya wadau katika Muswada
wa Sheria ya Huduma za Habari katika kikao kilichofanyika jana Mjini
Dodoma.
2. Mjumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Mussa Azzan Zungu akifafanua jambo
mbele ya Wajumbe wa kamati hiyo katika kikao kilichofanyika katika
ukumbi wa hazina ndogo Mjini Dodoma.
3.
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii
Mhe. Peter Serukamba akifafanua jambo mbele ya kamati hiyo katika kikao
kilichofanyika Mjini Dodoma. Kulia kwake ni Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye na Kushoto kwake ni Katibu
wa kamati wa Bunge Ndugu. Pamela Pallangyo