BANDA MEDIA BLOG

TAMISEMI YAFIKISHWA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI [LAAC]


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George B. Simbachawene akifafanua jambo mbele ya Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.



 Makamu mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Mhe. Abdallah D. Chikota akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa kamati hiyo katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma kushoto kwake ni Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe.Vedasto E. Ngombale Mwiru.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG