BANDA MEDIA BLOG

TPSF YAENDESHA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI MBEYA


01
Meneja Mradi wa  Mfumo wa Taarifa kwa Wajasiriamali nchini,(MSMEs) Celestine Mkama, akizungumza kwenye  mafunzo  ya wajasiriamali juu ya matumizi ya mtandao ya simu kupata taarifa mbali mbali za kiujasiriamali iliyofanyika  katika ukumbi wa Vijana wa Katoliki  jijini Mbeya.
02
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Paul Ntinika, akizungumza na wajasiriamali na viongozi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)  kwenye ufunguzi wa mafunzo ya wajasiriamali juu ya matumizi ya mtandao wa simu kupata taarifa mbali mbali za kiujasiriamali iliyofanyika ukumbi wa Vijana wa Kikatoliki-Mbeya mjini.
03
Baadhi ya wajasiriamali waliohudhuria semina ya TPSF wakifurahi mada kutoka kwa wawezeshaji.

04
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) ,Louis Accaro, akitoa taarifa ya mafunzo ya Ujasiriamali kwa wajasiriamali wa Mkoa wa Mbeya iliyofanyika jijini Mbeya
05
Baadhi ya wajasiriamali waliohudhuria semina ya TPSF wakifuatilia mada  mbalimbali

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG