|
Katibu
wa Kawe jogging Social and sport Club, Seif Muhere akipokea tiketi za
Kili marathon kutoka kwa Mwakilishi wa Tigo, Viola Mboya kwa ajili ya
ushiriki wa mashindano Tigo Kili Half Marathon 21Km, yanayotarajiwa
kufanyika jumapili ijayo Tarehe 26 Februari mkoani Kilimanjaro. Usajili
huo ulifanyika jana Jumamosi Mlimani city jijini Dar es Salaam kwa
kujisajili kwa kulipia kwa kutumia Tigopesa na zoezi linaendlea leo
siku ya jumapili.
|