Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa salama za rambirambi
kwa familia ya raisi mstaafu Jakaya Kikwete kwa msiba wa mama yake
mdogo Bi. Nuru Khalfan Kikwete aliefariki asubuhi ya leo.
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Freeman Mbowe amesema familia ya Kikwete
imepata pigo kubwa kwa kuondokewa na nguzo muhimu katika familia na
ukoo.
Tags
RAMBIRAMBI
