Akihijowa na DW mchana huu Jenerali Ulimwengu ameshauri Makonda ashitakiwe...
Amesema ni tukio linaloweza kufanywa na viongozi ambao wanajiona hawana mipaka katika utawala wao.
Amesema mkuu wa mkoa amelewa madaraka na kwa kufanya tukio hilo
ameonyesha kwamba hana kitu chochote kinachoweza kumzuia. Amewaomba
wananchi kupata sauti zao katika kutetea haki zao.
Amesema suala la Makonda kuwajibishwa linategemea na mtu aliyemchagua
ambaye ndiye kiongozi wa nchi kwa hiyo Raisi akiona kwamba kuna haja ya
Makonda kuwajibishwa basi amuwajibishe ili iwe fundisho na kwa viongozi
wengine.
Tags
jenerali ulimwengu