Kituo cha sheria na haki za binadamu kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu,
Dk Helen Kijo-Bisimba kimesema wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa
za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye
silaha.
Bisimba ameitaka Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa ili kukomesha tabia hiyo.
Tags
Paul Makonda
