.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(aliyesimama) akizungumza na Kamati ya
Bunge ya maendeleo ya Jamii pamoja na Uongozi wa Shirika la Utangazaji
la Taifa (TBC) wakati kamati hiyo chini ya mwenyekiti Mhe. Peter
Serukamaba (Mb) ilipotembelea Shirika hilo leo Jijini Dar es Salaam .
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba(Mb) (aliyesimama)akitoa maelezo
mafupi kuhusu dhumuni la ziara ya kamati hiyo katika Shirika la
Utangazaji la Taifa (TBC) katika kikao kazi wakati kamati
hiyo ilipotembelea TBC leo Jijini Dar es Salaam .Wa kwanza kulia ni
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia
Wambura.
Mkurugenzi wa Shirika la la
Utangazaji la Taifa (TBC) Dkt. Ayoub Ryioba(aliyesimama) akieleza
utendaji kazi wa Shirika kwa Kamati ya Bunge ya maendeleo ya Jamii
wakati kamati hiyo ilipotembelea TBC leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye na
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe. Mussa Zungu.
Tags
TBC