Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara,
Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China hapa nchini, Dk. Lu
Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19,
2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu juhudi za kuongeza
ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) katika
nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu uliopo kwa siku nyingi
baina ya vyama hivyo na uchumi. (Picha na Bashir Nkoromo).
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China
hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es
Salaam, leo, Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu
juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu
uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. (Picha na Bashir
Nkoromo).
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akizungumza na Balozi wa China
hapa nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, jijini Dar es
Salaam, leo, Machi 19, 2017. Mazungumzo hayo yalihusu zaidi kuhusu
juhudi za kuongeza ushirikiano baina na CCM na Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC) katika nyanja mbalimbali ikiwemo uhusiano wa kidundugu
uliopo kwa siku nyingi baina ya vyama hivyo na uchumi. Kushoto ni Katibu
wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Baadhi
ya viongozi aliofuatana nao, Naibu Katibu Mkuu wa CCM wakifuatilia
mazungumzo hayo. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
Balozi huyo wa China hapa nchini akimfafanulia jambo Mpogolo wakati wa mazungumzo hayo
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akiwa na Balozi wa China hapa
nchini, Dk. Lu Youqing, nyumbani kwa Balozi huyo, baada ya mazungumzo
yao jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19, 2017. Kulia ni Katibu wa NEC,
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo akimshukuru Balozi wa
China hapa nchini, Dk. Lu Youqing, baada ya mazungumzo yao, nyumbani kwa
Balozi huyo, jijini Dar es Salaam, leo, Machi 19, 2017. (Picha zote na
Bashir Nkoromo).