BANDA MEDIA BLOG

PICHA: Dereva asimulia Chanzo cha moto ulioteketeza sheli leo Dar



Leo March 7 2017 zimeripoyiwa taarifa za moto ulitokea kwenye kituo cha mafuta cha kilichopo Tegeta ambapo inaelezwa moto huo ulidumu kwa zaidi ya saa moja.
Kwa mujibu wa dereva wa lori liloungua kwenye kituo hicho cha mafuta  ambapo amesema chanzo cha moto huo ni nyaya za umeme zilizokanyagwa na kusanabisha moto.
>>’Nimekuja na mafuta hapa wakati tukitoa mafuta kwenye gari kuweka kwenye visima ndio alikuja mfanyakazi wa hapa pembeni yetu wakati tunaweka mafuta alikanyaga nyaya za umeme zilizokuwa chini ambazo zilisababisha moto‘;-Edwin Thomass






Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG