Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’
Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi.
Katika wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji
matakatifu, sauti ya shetani akiwa amekasirika inasikika, Michael
Jackson anazaliwa mara tatu kama alama ya ‘kuzaliwa upya, kuwa mtu mpya
na kuachana na mambo ya kale, kisha najipongeza mwenyewe kwa hilo,
anapiga magoti mbele ya Mungu na kuwa huru kutoka kwenye mikono ya
illuminati.
Kisha kachukua maji matakatifu na kuyamwagia kwenye alama ya ‘ROYAL
ARMS’ na ‘Royal’ ikiwa na maana ya ‘Royal Bloodline’ ambazo nazo zipo
13. Mwishowe Michael anabadilika na kuwa ‘panther’. Lakini kabla ya hapo
alivunja kioo cha gari kilicho andikwa ‘NIGGER GO HOME’ na na ndani ya
maneno hayo nambari ‘666’ ikiwa imefichwa ndani yake.
Akavunja bango la ‘KKK’ ambapo ‘K’ ni herufi 11 kwenye alfabeti,hivyo
11x3=33, lakini pia ‘KKK’ inasimama badala ya jina la Ku Klas Klan,
ambalo ni jina la kikundi cha Illuminanti, kilicho undwa na Albert Pike
mwana masonia wa daraja la 33, kikundi hichi ni cha kibaguzi na
kinahusishwa na kila aina ya uchafu unao fanywa na Illuminanti dhidi ya
watoto, wanawake na watu wa matabaka mengine.
Mwishoni Michael Jackson alipogeuka ‘Panther’ ambapo panther
inawakilisha, nguvu, uhuru, kuzaliwa upya baada ya mateso, yaani kuwa
mtu mpya. Miaka 3 baada ya wimbo huo hadithi ya Michael Jackson kwenye
vyombo vya habari ikabadilika.
Miaka 17 iliyo fuata Illuminanti walikuwa kwenye vita kali na Michael
Jackson, kwa miaka yote hiyo walifanya kazi kubwa ya kuibomoa taswira
yake kwenye vyombo vya habari na kwenye macho ya walimwengu.
Hawakutaka kumuua kipindi hicho kwa sababu hilo lingezindua watu,
walimwengu wangeona kuna ambacho hakipo sawa, hivyo ilihitaji mpaka muda
maalum, wakati muafaka.
Ingawa Michael Jackson hakung’ara na kupanda chati kwa sababu ya
‘ku-sale his soul to the devil’ lakini kwa sababu ya kipaji chake,
lakini hata hivyo Illuminati hawakupoteza malengo yao, walimtumia
Michael Jackson kwenye kazi zake kutukuza na kutangaza ushetani.
Wimbo kama ule wa ‘Thriller’ na ‘Beat it’ utakuta kwenye mashairi yake kumebeba vionjo vya kishetani.
Kwa Illuminati ‘mtu mweusi’ ni sawa na mnyama, yaani thamani yake ni
ndogo, yaani siyo binaadam kamili, hili linahitaji mtiririko wa post
kadhaa iliuweze kuelewa, lakini unapotizama filamu za Hollywood,
unapotizama sera za nchi za Ulaya dhidi ya nchi za kiafrika, unapotizama
matukio ya ubaguzi kote duniani, hutachelewa kuona kuna tatizo la
makusudi la kutengenezwa dhidi ya matabaka na rangi za watu.
Hivyo Michael Jackson naye ‘weusi’ wake ulikuwa ni shida kwenye kipaji chake, ‘baniani mbaya kiatu chake dawa.’
Vipi basi mtu mweusi awe ‘KING OF POP’ na abakie kama kama mtu mweusi,
na akumbukwe kama mtu mweusi, hapana hili hata kidogo haliwezekani, hata
kidogo haifai mtu mweusi kuwa ‘king of pop’ kazi ya ziada ikafanyika na
Michael Jackson akaambukizwa au akatiwa ugonjwa wa ngozi unao fahamika
kama ‘VITILIGO.’
Kwenye mahojiano ya mwaka 1993, Michael akasema kuwa ‘Baba aliniambia
kuwa ugonjwa wa ngozi wa Vitiligo upo kwenye damu ya familia yetu”
Lakini ajabu ugonjwa ulimpata Michael Jackson peke yake ambaye ametokea kuwa ni King of Pop.
Kabla ya ‘Thriller’ MTV, walikataa kuonesha kwa watazamaji wake wimbo wowote wa Michael Jackson.
Kwanini?
Michael Jackson ni MWEUSI.
Kesho Usikose Kusoma na kufuatilia Sehemu ya Pili na ya mwisho kujua kwa kina ..!!!!
Tags
MAAJABU
