Wanawake wawili
wanaodaiwa ni rai wa Kenya wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi baada ya
kutuhumiwa kuiba nguo ndani ya duka la nguo kwenye Jengo
la Hifadhi House lililopo karibu na mzunguko wa Sanamu ya
Askari Posta jijini Dar es Salaam leo.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
Wanawake wawili wanaodaiwa ni rai wa Kenya wakiwa wakitokwa na machozi huku wakificha sura zao baada ya kupokea kipigo kutoka kwa wananchi.
Wezi wa nguo wakipanda kwenye gari la polisi.
Tags
AAH