Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba hii leo
amekutana na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird. Katika
mazungumzo yao Mwakilishi huyo wa Benki ya Dunia ameahidi kuisaidia
Tanzania katika Sekta ya Mazingira ikiwa ni pamoja na uhifadhi wa mifumo
ya ikolojia na bioanuai, pamoja na kulijengea uwezo Baraza laTaifa la
Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC).
Waziri wa Nchi wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba (Kushoto)
akiongea na Mwakilishi wa Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird.
Mazungumzo hayo yamefanyika hii leo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es
Salaam.

Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin
Kamuzora.
Tags
UCHUMI / BIASHARA