Aliyekuwa
Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Stanley Mkandawile
ambaye sasa ameteuliwa kuwa Katibu wa CCM wilaya ya Lindi Mjini,
akizungumza maneno ya Utangulizi, baada ya kupokewa na Mwangalizi
Msaidizi wa Kituo cha Kulea Wazee wasiojiweza kilichopo Msimbazi Centre,
Dar es Salaam, Sista Angelina (kushoto), wakati viongozi mbalimbali wa
Jumuia hiyo walipofika kwenye kituo hichp ili kusalimia wazee haoa na
pia kuwazazidia vitu mbalimbali ikiwemo nguo, ikiwa ni sehemu za kuanza
maadhimisho ya Siku ya Jumuia ya Wazazi ambayo kilele chake kitakuwa
Machi 8, 2017 mjini Bukoba. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya ya Ilala
Lugano Mwafongo
Wakiendelea kufanya utambulisho
Msimamizi
wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista
Wilibroda Mangwangi akisalimiana na Mkandawile alipowasili ili
kkabidhiwa misaada
Msimamizi
wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista
Wilibroda Mangwangi akisalimiana na Katibu wa Jumuia ya Wazazi Ilala
Lugano Mwafongo,
Msimamizi wa Kituo cha Kutunza Wazee wasiojiweza cha Msimbazi Centre, Sista Wilibroda Mangwangi akiendelea kusalimia

Masista hao wakapiga picha ya kumbukumbi na baadhi ya viongozi hao
Picha ya pamoja msafara mzima na masista hao
Mwafongo akizungumza tayari kuanza kukabidhi misaada kwa Sista huyo
Viongozi waakanza kumkbidhi zawadi.Wapili kushoto ni Mkandawile na furushi la nguo
Akakabidhi
Kukabidhi kukaendelea
Kukabidhi kukaendelea
Mkandawile akimsalimia mmoja wa Wazee wanaolelewa kwenye kituo hicho
Naam wakimsalimia kwa bashasha
CCM Oiyeee, Wakamwambia
Wakimsalimia Mzee mwingine mwenye umri unaokadiriwa kuwa tisini ambaye analelewa na kituo hicho
Wakampa zawadi
Byeee, Mkandawile akimuaga Mzee huyo
Karibuni jena jamami. Mzee kwenye kituo hicho akisema
Kila
mmoja akijitahidi kuwaliwaza wazee hao. mwishoni Viongozi hao wameagidi
kujikusanya na kutoa msaada wa dawa kwa ajili ya wazee kwenye kituo
hicho. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Tags
CCM WAZAZI