Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na mawakala wa pembejeo za kilimo kwenye ukumbi wa Spika,
bungeni mjini Dodoma Aprili 5, 2017.
Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa
Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji na wapili kulia kwake ni Naibu
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvu Tete Ole-Nasha. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Tags
pembejeo