![]() |
| Mbunge wa Jimbo la Metera Livingston Lusinde akishiriki Jogging pamoja na wanamichezo wa Muungano Jogging na Dodoma Fitness Sport Club |
![]() |
| Afsa utumishi Ofisi ya Rais Tamisemi Rose Lugendo mwenye jacket Jeusi, akishiriki mazoezi ya viungo katika uwanja wa Kilimani mjini Dodoma [PICHA NA JOHN BANDA] |
![]() |
| Mkuu wa Polisi Wilaya ya Dodoma mjini [OCD] Daniel Shilla akizungumza baada ya kukaribishwa kutoa salamu za jeshi hilo |
![]() |
| Mratibu wa Michezo wa TAMISEMI Salum Mkuya akitoa salamu kwa washiriki wa mazoezi hayo |

![]() |
| Mazoezi ya Viungo yakiendelea |
Tags
JOGGING

















