
Hofu hiyo inatokana na tetemeko la ukubwa wa 5.7 kwa vipimo vya Richter
lililotokea mkoani hapa Septemba mwaka jana na kusababisha vifo vya
zaidi ya watu 10 majeruhi takriban 200 na mamia wengine kukosa makazi.
Wananchi waliozungumza na gazeti hili, katika Manispaa ya Bukoba, wilaya
za Missenyi, Muleba na Karagwe wamesema tetemeko hilo lilitokea saa
saba usiku wa kuamkia leo.
Tags
Tetemeko