
Rais wa John Magufuli ameeleza sababu kwa nini alimfukuza kazi Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa.
Rais Magufuli amesema kuwa alichukua uamuzi huo kutokana na Profesa huyo
kueleza Kamati ya Bunge kiasi ambacho kilikuwa kipo kwenye makontena ya
dhahabu ambacho hakikuwa sawa.
Profesa Ntalikwa alifutwa kazi na Rais Magufuli siku chache baada ya
kufanya ziara ya kushtukiza bandarini lakini hakubainsha iwapo kuna
uhusiano kati ya ziara hiyo na kufutwa kwake Ntalikw
Tags
RAIS MAGUFULI