
Tuamke tukaanze Kilimo wakuu hali ni mbaya siyo lazima wote mkaajiriwa.
Mimi Roho huwa inaniuma Mtu anavyotaka Sehemu ya Kujitolea bila Malipo
hebu Imagine Sehemu hiyo unayojitolea vipi kama ungekua umeanzisha
Kilimo cha Ekari Mbili za Vitunguu au ungekua unamiliki mgahawa kwa Pesa
ulivyotumia kununulia Galaxy S7
Si sifa Asubuhi kuvaa Kiminini na high heels au Kuchomekea shati tayari
kwenda kutumwa tena bure kuna Projects ulipiga Mara Mbili Kipato cha
Mfanyakazi wa Halimashauri anayeanza Kitakua Mara Mbili
Nakumbuka mwaka 2016 Mfanyakazi wa Halimashauri mwenye Degree za Kawaida
kama Uhasibu, Sheria ilikua ni 716,000/= before statutory deductions
Hapo Piga
NSSF= 10%
NHIF=3℅
Workers Comp=1℅
HESLB=15℅
Tax=25 Plus 14℅ ya Level 3
Aisee huyu Jamaa anaweza Kujikuta kwa Mwaka anapokea Tsh. 6,500,000 kwa mwaka kama Mshahara
Kuna Project sitazitaja ukizikodolea Macho unaweza kupiga Mara 3 ya hizo Pesa kwa mwaka wa 1.
Mimi mwenyewe nataka Niache Kazi tukapambane nimechoka Kutumwa.

Leo Rais Jakaya Kikwete alikua anakagua shamba lake Msoga.
Tags
Jakaya kikwete