Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Manispaa ya Moshi,Elizabeth Minde (katikati)
akifurahia jambo wakati Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira (hayupo
pichani) alipokutana na uongozi wa chama hicho katika ofisi za CCM-Mkoa
wa Kilimanjaro.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro ,Idd Juma akitoa neon la
shukrani mara baada ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mngwira
kutembelea ofisi za chama hicho.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira akitoka ofisi za Chama cha
Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro mara baada ya kuonana na viongozi wa chama
hicho.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna mngwira akisalimaiana na Katibu wa Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Kilimanjaro alipofika
nyumbani kwa Marehemu Dkt Philemoni Ndesamburo kutoa pole kwa familia.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mngwira akisalimiana na mtoto wa Marehemu
Dkt Philemoni Ndesamburo ,Sindato Ndesamburo alipotembelea nyumbani kwa
marehemu kutoa pole kwa familia.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akitia saini katika kitabu cha
waombolezaji mara baada ya kufika nyumbani kwa Marehemu Dkt Ndesamburo
kutoa salamu za pole kwa familia.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna mngwira akizungumza jambo na mjane wa
Marehemu Dkt Ndesamburo ,Ndehorio Ndesamburo alipofika nyumbani kutoa
salamu za pole kwa familia.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,akitembelea kaburi ulipolazwa mwili wa marehemu
Dkt Philemoni Ndesamburo alipofika nyumbani kutoa salamu za pole kwa
familia.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akiongoza sala katika kaburi la marehemu Dkt Philemon Ndesamburo.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mngwira akimpa mkono wa pole Mbunge wa viti
maalumu na mtoto wa marehemu Dkt Ndesamburo ,Lucy Owenya alipofika
kutoa salamu za pole kwa familia y marehemu.
Mbunge
wa Viti Maalum Chadema mkoa wa Kilimanjaro,Lucy Owenya akizungumza
jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira alipofika kutoa salamu
za pole kwa familia.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akisalimiana na wananchi katika neo
la Kwa Alphonce wakati akiwa njiani akitoka kutoa salamu za pole kwa
familia ya Dkt Ndesamburo.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mngwira akiwa katika picha ya pamoja na
wananchi alipowasalimia katika eneo la Kwa Alphonce mjini Moshi.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akizungumza na mmoja wa wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro aliposhuka kwenye gari kuwasalimia.
Na Dixon Busagaga wa Busagaga’s Orijino Blog.
Tags
anna mghwira