BANDA MEDIA BLOG

Uteuzi wa Mghwira Kuwa Mkuu wa Mkoa Wamtoa Povu Hashim Rungwe..Adai Rais Asipewe Madaraka ya Kuteua Teua Ovyo..!!!


Mgombea wa urais mwaka 2015, kupitia chama cha CHAUMA, wakili msomi Hashimu Rungwe amesema Rais Magufuli achague wote na kwamba achague na wabunge toka upinzani na sio kama njia inayofanywa sasa ya kuteua tu wapinzani walioandaliwa na vyama vyao.
Rais asipewe madaraka ya kuchagua kila mtu apendavyo yeye. Na katiba ya nchi inatakiwa kubadilishwa na kuwekwa sawa

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG