BANDA MEDIA BLOG

ZOEZI LA KUCHANGIA DAMU LAFANA JIJINI DODOMA WENGI WAJITOKEZA KUTOA DAMU, WAZIRI UMMY AWAKOROMEA WATOA HUDUMA WANAWATAKA NDUGU WA WAGONJWA KUTOA DAMU KABLA YA HUDUMA

Mhudumu wa kitengo cha Damu Salama akimuandaa Mkazi wa jiji la Dodoma kabla ya kumtoa Damu 

Meneja wa Exim Bank tawi la jijini Dodoma Gema pamoja na Afsa Masoko wa Bank hiyo wakisalimiana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati wa siku ya Damu Salama iliyofanyika katika viwanja vya Nyerere Jijini Humo


 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza jambo wakati akiwahutubia wakazi wa jiji la Dodoma kuhusu umuhimu wa kuchangia katika Hafra iliyofanyika katika viwanja vya nyerere 
Muumini wa Dini ya kiislam aakimalizia mfungo wa Ramadhani kwa kuchangia Damu katika viwanja vya nyerere jijini Dodoma [PICHA ZOTE NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]








Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG