BANDA MEDIA BLOG

No title

TAASISI YA YA UTAFITI WA MIFUGO TANZANIA (TALIRI) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UBUNIFU MAKISATU KATIKA UWANJA WA JAMHURI DODOMA, HUKU WAKIJIVUNIA MASHINE YA KUPIMA UBORA WA MAZIWA KABLA YA KUFIKISHWA KWA MNYWAJI

Mtafiti wa mifugo Samson J, akionyesha matumizi ya mashine inayotumika kupima ubora wa maziwa (LAB IN THE BOX), kulia ni kaimu meneja kitengo cha Uhaulishaji wa Teknolojia za mifugo, Neema Urassa 


kutoka kulia ni watafiti kutoka taasisi ya utafiti wa mifugo Tanzania (TALIRI) Jefta Rwegasira, John Diyu, Neema Urassa, Said Mbelwa na Samso J, wakionyesha aina za malisho, mbegu bora za kuku,  jiwe la kulamba wanyama lenye virutubisho bora, malisho bora ya wanyama yaliyosindikwa  na mashine maalum ya kupima ubora wa maziwa
mtafiti kutoka TALIRI akitoa maelezo kuhusu mbegu bora ya kuku kwa wateja waliotembelea maonyesho ya ubunifu MAKISATU



 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG