Home No title byJohn Banda -Sunday, May 15, 2022 0 Hivi ndivyo shughuli ya Yanga na Dodoma jiji ilivyohitimika katika dimba la Jamhuri jijini Dodoma, huku shangwe likienda kwa mashabiki wa Yanga baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa 2.0 dhidi ya wenyeji wao (picha zote na John Banda) Facebook Twitter