OTHMAN, AZINDUA MRADI WA MAJI MAZINGINI ZANZIBAR (PICHA)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji Mazingini, Unguja Magharib, Mradi huo unatekelezwa na kampuni ya L& T Toka Nchini IndiaMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akipokea Zawadi kutoka kwa Meneja wa mradi wa maji, Masingini kutoka kampuniya L & T ya Nchini India wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, akizindua mradi huo (PICHA ZOTE NA IKULU YA ZANZIBAR)
