BANDA MEDIA BLOG

No title

CAMERA YETU, DEC 25 NA 26 2023 ILISHUHUDIA  UBUNIFU WA WAPIGA PICHA NA MAPOZI YA WAPIGWA PICHA, KATIKA ENEO MAARUFU JIJINI DODOMA LA NYERERE SQUARE, WAKATI WA KUHITIMISHA SHEREHE ZA KRISMASI ...!!!









Viongozi wa Dini na Madhehebu ya Kikristo nao wakakutana katika Uwanja wa Mtekelezo jijini humo kuhitisha sherehe hizo kwa maombi na sala, huku Uimbaji wa kwaya na binafsi ukishamili ....



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG