BANDA MEDIA BLOG

KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DK. NCHIMBI AINGIA MITAMBONI, AFANYA KIKAO NA SEKRETARIETI, AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI, ZANZIBAR, LEO

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Mstaafu Dk. Emmanuel Nchimbi, akifanya kikao cha kwanza cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, Januari 16, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Mstaafu Dk. Emmanuel Nchimbi, akisisitiza jambo wakati akifanya kikao cha kwanza cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, Januari 16, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Mstaafu Dk. Emmanuel Nchimbi, alipokuwa akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Anamringi Macha baada ya kuwasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, Januari 16, 2024.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Mstaafu Dk. Emmanuel Nchimbi, alipokuwa akikaribishwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mohammed Said Mohammed Dimwa, baada ya kuwasili Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, Januari 16, 2024.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Mstaafu Dk. Emmanuel Nchimbi, akiongozwa na Ndugu Dimwa (kushoto) na Ndugu Macha wakati aienda ukumbini kufanya kikao na Seretarieti katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar, leo Jumanne, Januari 16, 2024.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG