BANDA MEDIA BLOG

KATIBU MKUU CCM DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZIKO YA MZEE MWINYI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiweka mchanga kwenye kaburi, wakati wa mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mstaafu na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Pili, Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi, aliyezikwa leo Jumamosi, Machi 2, 2024, huko Mangapwani, Mko wa Kaskazini Unguja, Zanzibar.


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG