Kuna mdada huko tiktok huyo hapo kwenye picha kajitokeza ana dai kwamba yeye ndiyo mama wa huyo mtoto kaandika ujumbe huu. 👇👇👇👇
"Watanzania Niko mbele yenu kuwaomba msamaha sana tena sanaðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ Sina cha kusema Mimi moyo wangu unavuja damu naona aibu Mimi hata kusema mbele yenuðŸ˜ðŸ˜
Mwanangu naomba nimsamehe pia sikutaka kukutupa Mimi baba yako ndiyo chanzo cha yote haya mwananguðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ nimeumia sana tena sana Kwa nilichokifanya mwenzako huku naona aibu MimiðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜".
Je, Una maoni gani kuhusu jambo hili? Kama kweli yeye ndiyo muhusika kumtupa mtoto je una hisi kati ya mwanaume na yeye nani mwenye makosa???
Tags
UKATILI
