BANDA MEDIA BLOG

ASKOFU MALASUSA ATAKA WAUMINI KKKT KUACHA MAZOEA

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Malasusa amewataka waumini wa kanisa hilo kuacha mazoea katika ibada ikiwemo katika kumtumikia Mungu huku akiwasisitizia Umhimu wa Kumtolea Mungu kwa Moyo wa Upendo.

Askofu Malasusa ameutoa msisitizo huo wakati alipokuwa akihubiri Katika kanisa Kuu la KKKT, Lililopo Azania front jijini Dar es laam, iliyokuwa maalumu kwa ajili ya utoaji wa mavuno ikiwa ni siku ya 20 baada ya Uatatu mtakatifu, Dean Chediel Lwiza na Chaplain Victor Makundi wameshiriki ibada hiyo huku kundi maarufu la Neema Gospel Choir 🇹🇿 na Kwaya ya Umoja ya Kanisa Kuu wakihudumu kwa njia ya Wimbaji.







 

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG