.............................
KATIKA Kanisa Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Kondoa, Oktoba 25,2026, kumefanyika Ibada Takatifu ya Kuamuru kwa Daraja Takatifu la Ushemasi na Ukasisi, Ibada Hiyo Imefanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo Mtume kwa Wamataifa ambayo iliongozwa na Askofu wa Dayosisi hiyo Dkt. Given Gaula ambapo watumishi Sita Wameamuliwa watatu kati yao Daraja Takatifu la Ushemasi na watatu Ukasisi na kwamba Tukio hili Limefanyika Kwa Kuakisi hatua muhimu katika kuendeleza huduma na utume wa Kanisa, kuhubiri Injili ya Yesu Kristo, kuwahudumia waumini na kulijenga Kanisa la Mungu.
Tags
DINI NA MADHEHEBU

















