BANDA MEDIA BLOG

HOLLY HOLM AMDUNDA RONDA ROUSEY NA KUWEKA HISTORIA


Bingwa wa zamani wa dunia wa mchezo wa mapigano ya ngumi na karate Ronda Rousey amepata kipigo cha mara ya kwanza kutoka kwa mpinzani wake Holly Holm katika pambano la UFC lililofanyika huko Melbourne.

Holm alimdunda Rousey katika raundi ya sita ya mchezo huo wa uzito wa uzito wa bantam ulioshuhudiwa na watazamani 56,214 na kuweka historia ya kumpiga kwa mara ya kwanza Rousey.
 Ronda Rousey akirusha konde lililokwepwa na Holly Holm aliyevalia jezi nyeupe.
  Holly Holm akimpiga teke la kushoto lililompata Ronda Rousey
Ronda Rousey akiwa chali chini baada ya kupata kipigo kutoka kwa Holly Holm



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG