Rais Hollande ameelezea mashambulio hayo kuwa kitendo cha vita vilivotangazwa na IS ambao alisema walipata msaada kutoka ndani ya nchi.
![]() |
| Shambulizi Paris
Ametangaza hali ya dharura. Wanaume wanane waliovaa vizibau vyenye mabomu walikufa kwenye mashambulio hayo katika sehemu sita mbalimbali za mji mkuu wa Ufaransa. |
![]() |
| Wakuu wanasema paspoti ya Syria ilionekana karibu na mwili moja. Watu kama 80 walikufa katika tamasha la muziki wa roki - ambako washambuliaji waliwakabili mateka wao na kuwapiga risasi. |
Tags
KIMATAIFA


