Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea nakala yake ya fomu ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma
kutoka kwa Kamishina wa Maadili, Jaji Mstaafu Salome Kaganda ambayo
aliitia saini na kuipeleka kwenye Secretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma ambako ilitiwa saini na kamishina huyo. Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 15,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Secretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma ambao walikwenda ofisini kwake jijini Dar es salaam
Februari 15, 2016 kumpatia nakala yake ya fomu ya ahadi ya uadilifu kwa
viongozi wa umma ambayo aliitia saini na kuipeleka kwenye
Secretarieti hiyo ambako ilitiwa saini na Kamishina wa Maadili, Jaji
Mstaafu Salome Kaganda (wapili kulia).Kushoto ni Katibu wa Idara ya
Viongozi Watumishi wa Umma, Secretarieti ya Maadili , John Kaole na
kulia ni Katibu wa Idara ya Viongozi wa Siasa, Secretariet ya Maadili ya
Viongozi wa Umma, Waziri Kipacha. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
HABARI KITAIFA