BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT ASHA_ROSE MIGIRO LEO OFISINI KWAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 k2Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
k1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na  na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt  Asha_Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke  leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016  

k3 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza  Dkt Asha_Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG