BANDA MEDIA BLOG

SPIKA WA BUNGE JOBU NDUGAI AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA UVUVI MJINI DODOMA LEO



1.      Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi alipokutana na kamati hiyo Mjini Dodoma, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Dkt Mary Nagu.

2.

     Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Philipo Mulugo akichangia hoja mbele ya kamati hiyo ilipokutana leo na Mheshimiwa Spika Job Ndugai Mjini Dodoma waliokaa ni Wabunge waliyopo katika kamati hiyo.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG