BANDA MEDIA BLOG

BALOZI WA CHINA ATEMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE WATETA OFISINI KWAKE

   Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo tarehe 03 Nov, 2016 Mjini Dodoma.

 Balozi wa China nchini Dkt LU Youqing akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mkalimani wa Balozi huyo.....

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing aliyetembelea Ofisini kwake leo tarehe 03 Nov, 2016 Mjini Dodoma

    Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa tatu toka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa China hapa Nchini Dkt LU Youqing, pamoja na ujumbe aliombatana nao mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG