BANDA MEDIA BLOG

PAMOJA NA MAKOCHA WA TIMU ZOTE MBILI WAKIZUNGUMZIA MCHEZO

VIDEO:TIZAMA GOLI LA YANGA ,

YUKO

Timu ya maji maji (WANALIZOMBE) wameshindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani baada ya kufungwa bao moja na YANGA katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI mjini SONGEA mkoani RUVUMA, Hapa tumekusogezea goli la YANGA pamoja na mahojiano na makocha wa timu zote mbili.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG