BANDA MEDIA BLOG

ASKOFU MSADIZI JIMBO KATORIKI LA DSM AFANYA IBADA KIGWE JIJINI DODOMA

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es laam Muhashamu   Vincent Lawrence Mpwaji Oktoba 25,2026, Ameshiriki Ibada katika kanisa katoriki la Kigwe jijini Dodoma.

Kupitia Ukurasa wake wa Facebook Mbunge wa Mtumba jijii Dodoma Anthon Mavunde ameandika kuwa, "Leo Dodoma tumempokea na kusali kijijini Kigwe na Mhashamu Vincent Lawrence Mpwaji Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Dar es salaam Tumefurahi kumpokea Kaka yetu leo na heshima kubwa ambayo ameipata,tumemtukuza Mwenyezi Mungu kwa baraka ya jambo hili kubwa kwa kuadhimisha Ibada ya shukrani kwa pamoja🙏🙏🙏🙏." amesema 















Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG