BANDA MEDIA BLOG

MADAKTA WA MACHO KUTOKA SHIRIKA LA SPECSAVERS LA SWIDEN WATOA HUDUMA YA UPIMAJI WA MACHO NA KUTOA MIWANI KWA WANANCHI WA ZANZIBAR


 Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akifanyiwa uchunguzi wa macho na
madaktari kutoka Shirika la Specsavers la Swiden walipofika Zanzibar kutoa
huduma hizo.
 Dkt. Happness Urasa kutoka Shirika la Specsavers na Dkt. Abdulrahman Abdalla wa Kliniki ya macho Mikunguni wakiwafanyia kipimo cha uoni wa mbali wa macho wagonjwa waliofika Skuli ya Kiembesamaki kwa ajili ya kupatiwa miwani.
 Baadhi ya wananchi waliofika Skuli ya msingi Kiembesamaki wakisubiri zamu zao kupimwa uoni wa macho na kupatiwa miwani.
Daktari wa macho kutoka Shirika la Specsavers la Swiden akiwachagulia miwani wananchi waliopatiwa huduma ya
kupimwa uoni wa macho waliofika Skuli ya msingi Kiembesamaki kupatiwa huduma hiyo.
 
Picha na Makame Mshenga-Maelezo.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG