BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI MKOANI KILIMANJARO JIONI HII


index
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Bw. Said Meck Sadik Tayari kuhudhuria sherehe za wafanyakazi duniani Mei Mosi zitakazofanyika Kitaifa mkoani Kilimanjaro

MOS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kilimanjaro wakati alipowasili mkoani humo.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG