BANDA MEDIA BLOG

MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA.


AA
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe,Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba,baadhi ya wa bunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Bi.Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo huyo kutembelea Bungeni hapo leo Mjini Dodoma.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO, DODOMA.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG