Mjasiriamali na Mwanamitindo maarufu Bongo, Jokate Mwegelo ameachia picha mbili mtandaoni na kudai huyu ndiye Jokate original.
Katika mtandao wa instagram alipoweka picha hizo, moja ameandika “The
Original. The OG. #Kidoti, kisha nyingine, “African Barbie. African
Queen”. Tazama picha hapa chini.