![]() |
| Ally Bakary Kiboko Akimvisha Pete ya Ndoa Mke wake Hafsa Ally Bakari alipofika na ujumbe wake kukabidhiwa Mke huyo mara baada ya kutoka kufungishwa Ndoa Katika Msikiti wa Nunge Mjini Dodoma |
![]() |
| HAFSA ALLY AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA NDUGU ZAKE WADOGO NA WAKUBWA ZAKE, PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG |
Tags
HARUSI & SHEREHE










